Kikundi cha kucheza kutoka mkoani morogoro kijulikanacho kama Morogoro Universe Of Talent (MYUT) kimeweza kufanikiwa kuchukua ubingwa wa kucheza katika mkoa huo kupitia mashindano yaloandaliwa na kampuni ya utengenezaji wa kinywaji cha serengeti yaliyojulikana kama SERENGETI DANCE LA FIESTA kwa kuwabwaga katika fainali kundi lingine lililojulkana kama gentle men!
No comments:
Post a Comment