Search This Blog
clouds fm live
sikiliza ngoma ya GONGA ZOTE - MOJA hapa
Wednesday, June 1, 2011
ROTA AIBUKA MSHINDI FIESTA FREESTYLE MORO
Mc machachari anayeibukia katika anga ya muziki wa HIP HOP hapa nchini toka mji kasoro bahari akiwa amebebwa juu na mashabiki wake baada ya kuibuka kinara katika mashindano ya kumtafuta mkali wa mitindo huru mjini morogoro...jamaa aniitwa ROTA na kaaidi makubwa kwa watu wa morogoro katika mashindano ya serengeti fiesta freestyle yatakayofanyika dar es salaam hivi karibuni...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment