Msanii wa muziki wa kizazi cha supra ama bongo flava chege akitumbuiza wakazi wa shinyanga..
baba joniii akimzungumzia joniii kwasteji ya fiesta shinyanga..
J.C.B alikuwepo kulliza mlio wa risasi yote ni katika kutoa majotro ya watu wa shy town
unaweza ukasema anakwenda kupiga penati haha hila yote ni katika kushoo love kwa watu wa shinyanga na kuwa fukunyulia yaliyomo katika propaganda... FID THE DON
Nyomi lilikuwa la kutosha na ilikuwa aina majotroo kwa hawa watu wa mji huu..
No comments:
Post a Comment