Search This Blog

clouds fm live

sikiliza ngoma ya GONGA ZOTE - MOJA hapa

Friday, September 2, 2011

AY KUACHIA VIDEO MPYA HIVI KARIBUNI

Baada ya Kuachia video yake mpya akiwa amemshirikisha wasanii wawili kutoka marekani Romeo na Lamyia, Ay msanii anayejulikana kama mzee wa kuvuka boda yuko mbioni kuachia track pamoja na video yake mpya ambayo amemshirikisha Sauti Sol (I dont wanna be alone ) Video hiyo ambayo imefanywa na Ogopa Video itaachiwa hivi karibuni kwenye vituo mbali mbali vya Radio lakini AY hakuweza kutaja siku Rasmi ya kauchia video hiyo.

No comments:

Post a Comment