Search This Blog

clouds fm live

sikiliza ngoma ya GONGA ZOTE - MOJA hapa

Wednesday, September 14, 2011

MAAFA YALIVYOPOTEZA WENGI ZANZIBAR

Hii ndiyo meli iliyochukua maisha ya ndugu zetu..
 waokoaji wakitoa baadhi ya maiti zilizopatikana...
 haya ni makaburi yaliyoandaliwa kuwaifadhi wale waliofariki...
waombolezaji wakipita kutambua baadhi ya maiti zilizopatikana...
 mwisho wa siku maziko yalifanyika....

MUNGU AWALAZE MAHALI PEMA PEPONI WOTE WALIOTUTANGULIA KUTOKANA NA AJARI HII YA BOTI VISIWANI ZANZIBAR....

No comments:

Post a Comment