msanii kutoka nchini nigeria anayetamba na kibao cha ASHAWO remix anatarajiwa kuwapa burudani wapenzi wa muziki watakaofika pale katika ukumbi wa diamond jubilee kushuhudia fainali ya shindano la kusaka vipaji la bongo star search...sambamba naye pia atakuwepo navio kutoka uganda...
No comments:
Post a Comment