gari kubwa likiwa limezama ndani ya maji.....
wasamalia wema wakiwa wamebeba mwili wa marehemu samweli julius baada ya kifo chake....
mwili wa marehemu samweli julias ukiwa umeviringiswa na mti na kupelekea kifo chake...
kipande cha barabara kilichomeguka kutokana na mafuriko wilayani karatu.....
MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU WALIOPOTEA KUTOKANA NA MAAFA HAYO NA PIA POLE KWA NDUGU WOTE WA KARATU WALIOKUMBWA NA MKASA HUO....
No comments:
Post a Comment