Search This Blog

clouds fm live

sikiliza ngoma ya GONGA ZOTE - MOJA hapa

Monday, November 21, 2011

VINEGA WA ANTIVIRUS KUWASHA MOTO NOVEMBER 26 DAR


Tamasha la Anti Virus linatarajiwa kufanyika Jumamosi ya Tarehe 26 Mwezi huu.Jijini Dar es Salaam,Kwa Mujibu wa Mh Sugu amesema wasanii ambao mpaka sasa wamethibitisha kushiri katika Tamsha hilo ni Mh sugu mwenyewe na wengine ni Soggy Doggy,Rama D,Mapacha,Manzese Crew,Big Dogg Pose,Suma G,Mkolooni,Adili,Gangwe Mob,Mabaga Fresh,Dk Levy,Danny Msimamo ,Lwp,Tamasha hilo linalotarajiwa kuanza saa 12 jioni hadi saa sita za usiku.Mr amesema "tunatarajia tamasha hili litakuwa zuri na la kuvutia na litakuwa tamasha la aina yake katika kumaliza mwaka Tunaomba wadu wajotokeze kwa wingi."

No comments:

Post a Comment